Licha ya Martin Odegaard kuonesha kiwango thabiti kwa muda mfupi alioitumikia Arsenal msimu uliopita, The Gunner hawana nafasi ya kumrudisha tena msimu ujao.

Odegaard alirejea Real Madrid na aliweka wazi lengo lake la kutaka kupambania namba kwenye kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao. Kwa hili, Arsenal wamejikuta wakitakiwa kutoa pesa ndefu ili waweze kumsajili moja kwa moja muda huu ambao Madrid inataabika kiuchumi.

Arsenal, Arsenal Wameshafeli Kwa Odegaard, Meridianbet

Mambo yanaendelea kuwa magumu kwa The Gunners, Read Madrid imefunga milango yake kuhusu usajili wa Odegaard kufuatia majeruhi yanayomsumbua Toni Kroos. Kuumia kwa Kroos kunapunguza idadi ya viungo kwenye kikosi cha Carlo Ancelotti na hii ni nafasi adhimu kwa Odegaard kuonesha uwezo wake.


VUNA MKWANJA NA KASINO ZA MERIDIANBET!

Unakila sababu ya kuwa moja ya mamilionea katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Mchezo wa Ruby Casino Queen unaweza kukufanya ujishindie mkwanja mrefu. Furahia ubora wa kasino zetu na njia kibao za kuwa mshindi leo hii ukiwa na mrembo Ruby.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa