Arsenal imeweka wazi nia yake kumtaka mchezaji Nabi Fekir kuwa kama mbadala wa Martin Odegaard wakati wa kiangazi.

Arsenal Yamnyatia Fekir Kama Mbadala wa Odegaard

The Gunners wamekuwa wakivutiwa na mchezaji huyo raia wa Ufaransa kwa muda mrefu walikuwa wakimtaka kabla ya hajahamia Real Betis akitokea Lyon mwaka 2019.

Fekir alitumia miaka miwili iliyopita huko Spai na muda uliyosalia Arsenal wapo kwenye rada za kumsajili kiungo mshambuliaji huyo wakati majira ya kiangazi.

Mwanzoni Arsenal waliweka dhamira ya kufanya jitihada za kumbakisha Odegaard, ambaye anatarajia kurejea Real Madrid mara baada ya dili yake ya mkopo kuisha huko Emirates.

Klabu hiyo ya Kaskazini mwa London haina kipengele kwenye mkataba wao na Odegaard ambacho kina waruhusu kumnunua moja kwa moja lakini walikubaliana na Madrid watafanya mazungumzo majira ya kiangazi.

Arsenal walikuwa wanapendelea kumsaini raia huyo wa Norway kwa mkataba wa muda mrefu lakini kwa sasa haijawekwa wazi kama Real Madrid watakuwa wazi kwa hilo kama Arsenal watakuwa na dau ili kuifanya dili hiyo.

Baada ya kushindwa kutua Liverpool mwaka 2018 Fekir mwishowe aliacha Lyon na kwenda Real Betis msimu uliyopfuata.

Alimaliza msimu wake wa kwanza akiwa na mabao saba huko Spain huku akifanikiwa kutoa assist nne katika mechi 31 lakini pia amefanikiwa kufunga mabao matatu msimu huu kwenye mashindano yote na kutoa assist tano kwa timu hiyo ya Manuel Pellegrini.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Arsenal, Arsenal Yamnyatia Fekir Kama Mbadala wa Odegaard, Meridianbet

CHEZA HAPA

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa