Mikel Arteta,  Kocha Mkuu wa Klabu ya Arsenal ameshauriwa kumuweka benchi kwa muda mshambuliaji wake Pierre Emerick Aubameyang na kumuanzisha kikosi cha kwanza Gabriel Martinelli.

Ushauri huo umetolewa na mchambuzi wa masuala ya michezo, Martin Keown kupitia Daily Mail kutokana na mwendo wa nahodha huyo kuwa wa kusuasua kikosini humo.

arteta, Arteta Amuache Aubameyang – Keown, Meridianbet
Martin Keown na Wenger

Arteta ameongoza jumla ya mechi 50 akiwa Arsenal ila kiwango cha wachezaji wake imekuwa kama gari bovu trip shamba trip gereji na alishuhudia kikosi chake kikipoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Liverpool,  Uwanja wa Emirates.

arteta, Arteta Amuache Aubameyang – Keown, Meridianbet

Keown amesema kuwa ni lazima Arteta afanye maamuzi magumu ya kumuweka kando kwanza Aubameyang na kumuanzisha kijana Gabriel kwa kuwa amekuwa na uwezo mkubwa ikiwa ataendelea kumtumia Auba atahatarisha ushindi wake.

arteta, Arteta Amuache Aubameyang – Keown, Meridianbet
Gabriel Martinelli 

Arteta baada ya kupoteza mbele ya Liverpool aliomba msamaha kwa mashabiki wa timu hiyo kwa kuwa alikuwa anaamini kwamba walikuwa na nafasi ya kupata pointi tatu muhimu.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

arteta, Arteta Amuache Aubameyang – Keown, Meridianbet

CHEZA HAPA

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa