Arsenal waliambulia sare ya 1-1 dhidi ya salvia Prague katika mechi ya Europa jana usiku kufuatia goli la dakika za mwisho kabisa lililofungwa na Thomas Holes.

Arsenal inashika nafasi ya 10 ikiwa na alama 42, ikifungwa mechi 12, kushinda 10 na kusuluhu 8. Mwenendo wa Arsenal haujakuwa mzuri toka Arteta akabidhiwe timu msimu uliopita.

Katika mechi ambayo ilitegemewa kuwa rahisi mno kwa vijana wa Arteta, lakini Arsenal walikutana na wakati mgumu kipindi cha kwanza na hata cha pili. Goli la kukuongoza la Arsenal lilifungwa na Nicholas Pepe dakika ya 86, huku Slavia Praha wakirudisha dakika za nyongeza.

Arteta
Arsenal walikubali kufungwa goli moja dakika za mwisho

Baada ya matokeo hayo Arsenal wamekalia kuti kavu kwani watalazimika kushinda magoli 2-0 wakiwa ugenini jambo linaloonekana kutokuwezekana. Safu ya ushambuliaji ya Arsenal imekuwa butu kwa muda sasa. Huku nyota wao Aubameyang akionekana kuwa na wakati mgumu klabuni hapo. 

Toka Arteta achukue mikoba ya Unai Emery mwaka 2019, Arsenal haijachukua kombe lolote kubwa nchini Uingereza. Mashabiki wengi wa Arsenal wamekuwa wakikasirishwa na uchezaji wa timu yao.

Mwaka 2019, wakati Arteta akikabadhiwa mikoba alisema kwamba kuleta mataji Arsenal kunahitaji kazi kubwa sana na anaamini itawezekana.

Je, Arsenal watashinda mechi ya mkondo wa pili? Arteta ni Kocha sahihi kwa Arsenal? Au kuna una ulazimu wa Arsenal kubadili kocha huyo?


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

arteta, Arteta Ni Kocha Sahihi Kwa Arsenal?, Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa