Covid-19 ni janga linalokabili ulimwengu na kila kukicha wataalamu wa afya wanatafuta uvumbuzi wa kukabiliana nalo na mpango wa sasa ni kujikinga kwa kupata chanjo kwaajili ya kujilinda na ugonjwa huo hatari.

Asilimia 68 ya Wachezaji wa EPL Wachoma Chanjo ya Covid-19

Premier League ilitoa taarifa rasmi kwamba asilimia 68 ya wachezaji wa ligi hiyo tayari wamepata chanjo na ni asilimia 13 pekee zilizobakia kukamilisha mkono wa kwanza wa kinga na asilimia 19 ndiyo wachezaji ambao hawaja choma chanjo.

Makocha kadhaa wa Ligi Kuu ya Uingereza wamesema kupendelea chanjo, haswa bosi wa Liverpool Jurgen Klopp, ambaye alifananisha kukataa chanjo hiyo ni sawa na kuendesha gari wakati umelewa.

“Sikuwa na budi kuwashawishi wachezaji, ilikuwa uamuzi wa kawaida kutoka kwa timu,” Klopp alisema. “Sikumbuki kweli niliongea na mchezaji katika hali ya moja kwa moja na kumuelezea.

“Sichukui chanjo hiyo kunilinda tu, ninachukua chanjo kuwalinda watu wote wanaonizunguka. Sielewi ni kwanini huo ni ukomo wa uhuru kwa sababu, ikiwa ni hivyo, basi kutoruhusiwa kunywa na kuendesha ni upeo wa uhuru pia.


KUSANYA MKWANJA NA BIG BAD WOLF

Mchezo wa Big Bad Wolf ni moja ya michezo pendwa katika kasino zetu za meridianbet. Ukiachana na tabasamu utakalolipata wakati wa kucheza pia unajiwekea nafasi ya kuwa mshindi wa mkwanja mrefu unaotoka kila baada ya mzunguko kukamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

 

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa