Klabu ya Aston Villa imethibitisha kumsajili mshambuliaji Danny Ings kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka katika klabu ya Southampton.

 

aston villa, Aston Villa Yamsajili Ings Kutoka Southampton., Meridianbet

Ings alifungia Southampton mabao 46 katika mechi 100 katika mashindano yote baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea kutoka Liverpool mnamo 2018.

“Danny ni mwanasoka bora wa Ligi Kuu ambaye amefunga mabao popote alipocheza,” alisema bosi wa Aston Villa Dean Smith.

Ings, ambaye alikuwa karibu kuingia mwaka wa mwisho wa mkataba wake huko St Mary’s, alikataa ofa ya mkataba wa miaka minne mnamo Julai ambao ungemfanya kuwa mchezaji anayelipwa zaidi wa klabuni hapo.

Villa tayari wamekamilisha usajili wa Leo Bailey kutoka Leverkusen na Emi Buendia kutoka Norwich pia wakiwa katika kumuwinda Todd Cantwell kuchukua nafasi ya Grealish anaetarajia kujiunga na Manchester City.

Ings akiwa Soton, EPL msimu ulipita [2020/2021]

🏟 29 mechi.
⚽ 12 mabao.
🎯 04 asssists.


VUNA MKWANJA NA KASINO ZA MERIDIANBET!

Unakila sababu ya kuwa moja ya mamilionea katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Mchezo wa Ruby Casino Queen unaweza kukufanya ujishindie mkwanja mrefu. Furahia ubora wa kasino zetu na njia kibao za kuwa mshindi leo hii ukiwa na mrembo Ruby.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa