Licha ya kuendelea kukaa kileleni kwenye msimamo wa LaLiga, Atletico Madrid bado wanakazi ya ziada kuhakikisha wanarudia kile walichokifanya 2014.

Atletico walijikuta wakiambulia kipigo cha 3 kwenye LaLiga msimu huu baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Sevilla wikiendi hii.

Goli pekee la mchezo huo lilipachikwa na beki wa Sevilla, Marcos Acuna kunako dakika ya 70, lilitosha kuwaadhibu vijana wa Diego Simeone.

Licha ya Jan Oblak kuokoa penati iliyopigwa na Lucas Ocampos, Acuna alipindua jahazi la Atletico ambaye anaogoza ligi akiwa na pointi 66.

Atletico Madrid, Atletico Madrid, Ubingwa wa LaLiga Matatani., Meridianbet
Msimamo wa LaLiga katika nafasi 6 za juu.

Nyuma ya Atletico Madrid wapo majirani zao- Real Madrid ambao wanapointi 63 wakiwa na idadi sawa za michezo waliyocheza mpaka sasa msimu huu (29).

Barcelona wanashika nafasi ya 3 wakiwa na pointi 62 na pungufu ya mchezo mmoja (28) wakilinganishwa na vijana wa Madrid. Hakika vita ya ubingwa wa LaLiga msimu huu huenda ikaamuliwa siku ya mwisho.

Je, Atletico Madrid ataweza kuwanyang’anya ubingwa Real Madrid au Barcelona atapeleka kombe Camp Nou?


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

Atletico Madrid, Atletico Madrid, Ubingwa wa LaLiga Matatani., Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa