Atletico Madrid wanaripotiwa kuwa kwenye nafasi ya kuwakwamisha Man United kwenye mpango wa kumsajili Saúl Ñiguez.

Ñiguez alikuwa akihusishwa na kuondoka Wanda Metropolitano baada ya ripoti kuwa anatafuta changamoto mpya mahali pengine.

Awali kulitajwa kuwepo kwa mpango wa dili la kubadilishana wachezaji, ambalo maongezi kati ya Barcelona na Atletico yaliripotiwa kuanza. Hata hivyo, dili na Barcelona linatajwa kukwama baada ya kusimama kwa mazungumzo kati ya pande hizo mbili.

Atletico wanatajwa kuwa dili la kubadilishana linaonekana gumu kwao kwa kuwa watapata changamoto ya mshahara wa Griezmann, hivyo wakaamua kuwatolea nje Barcelona.

Atletico Watamkwamisha United kwa Saúl Ñiguez?
Samuel Niguez

Wakati Chelsea, Liverpool na Manchester United wakionekana kuhitaji huduma ya staa huyu, Atletico wanajiamini kuwa dili lao litawezekana kwa wao kuweka kibindoni kiasi.

Kwa mujibu wa Transfermarkt, Ñiguez mwenye miaka 26 ana thamani ya €40m pekee. Taarifa za hivi karibuni zinadai kuwa United wamewasilisha ofa ya €52m.

Atletico wanatajwa kuwa karibu zaidi na kufikia kiwango cha mwisho cha mishahara wanayopaswa kulipa kwa mujibu wa taratibu za La Liga, hivyo haitakuwa rahisi kwao kuruhusu sajili mpya zaidi wanaweza kukubali ofa ya €52m iliyowasilishwa.


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa