Kocha wa zamani wa Simba, Patrick Aussems maarufu UCHEBE amefunguka baada ya droo ya CAF na kusema wachezaji waliyopo Simba wakati huu, wana uwezo mkubwa wa kuifunika Kaizer Chiefs na kupata matokeo nyumbani na ugenini, lakini wasijiaminishe moja kwa moja.

Aussems, Aussems: Simba ni Bora Kuliko Kaizer Chiefs, Meridianbet

“Nilieleza mapema kabla ya Simba kufika hatua hii kuwa ilivyoimarika wakati huu sioni kama itashindwa kufanya vizuri na ndilo lililotokea na wakikomaa hapo wanavuka kwenda nusu fainali.

Kaizer Chiefs ni timu nzuri yenye uzoefu pia wa michuano ya CAF lakini mechi mbili dhidi ya Simba watakuwa na wakati mgumu,” alisema Aussems na kuongeza;

simba

“Kama kina Clatous Chama, Luis Miquissone, Aishi Manula watakuwa katika viwango bora Simba wanaweza kupoteza kwa idadi ndogo ya mabao ugenini kisha wakaenda Dar es Salaam kupata ushindi mkubwa na wakafuzu robo fainali.”


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

Aussems, Aussems: Simba ni Bora Kuliko Kaizer Chiefs, Meridianbet

SOMA ZAIDI

13 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa