Sopu Asumbuliwa na Majeraha ya Misuli.

Mshambuliaji wa klabu ya Azam Abdul Khamis Suleiman Sopu atafanyiwa vipimo kutaoka na majeraha yanayomkabili msjambuliaji huyo siku za hivi karibuni.sopuSopu ambaye taarifa kutoka kwa daktari wa matajiri hao wa Dar-es-salaam anaumwa na misuli ya paja ambayo imekua ikimsumbua hivo dakatri wa klabu hiyo ameeleza atafanyiwa vipimo ili kujua wanaanzia wapi kumaliza tatizo la mchezaji huyo.

Mshambuliaji huyo wa zamani wa klabu ya Coastal Union kutoka mkoani Tanga inaelezwa amekua akisumbuliwa na majeraha hayo na daktari wa timu hiyo ameeleza hali sio mbaya lakini hatachreza michezo ya hivi karibuni daktari wa timu alieleza hivo.sopuSopu ambaye alikua na msimu bora sana kwenye klabu ya Coastal Union ya Tanga kabla ya kujiunga Azam ambapo bado hajaonesha yale makali aliyokua nayo msimu uliomalizika kutokana na majeruhi ambayo yamekua yakimsumbua.

Acha ujumbe