Yanga Yarejea Dar Es Salaam Baada ya Ushindi Dodoma, Kukabiliana na Azam FC

Kikosi cha klabu ya Yanga SC kimewasili salama Jijini Dar es Salaam kutoka Mkoani Dodoma baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri.

Yanga Yarejea Dar Es Salaam Baada ya Ushindi Dodoma, Kukabiliana na Azam FCBao pekee la mchezo hilo lilifungwa na mshambuliaji Depu dakika ya 78, lililowaweka Yanga kwenye nafasi nzuri ya kuendeleza mbio za ubingwa msimu huu. Kwa sasa, Yanga inakabiliwa na mchezo mgumu dhidi ya Azam FC utakaochezwa Machi 15 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, mchezo ambao unaweza kuamua ni nani anayeendelea kuwa kileleni mwa msimamo wa ligi.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Yanga Yarejea Dar Es Salaam Baada ya Ushindi Dodoma, Kukabiliana na Azam FCKikosi cha Yanga kimefikisha pointi 35 katika mechi 13 zilizochezwa, likishikilia nafasi ya kwanza, huku Azam wakishikilia nafasi ya tatu kwa pointi 27 pia baada ya mechi 13.

Yanga Yarejea Dar Es Salaam Baada ya Ushindi Dodoma, Kukabiliana na Azam FCKwa sasa Yanga sasa inaongoza Ligi Kuu ya NBC na morali ya juu baada ya ushindi Dodoma, wakijitayarisha kwa mchezo wa kihistoria dhidi ya Azam FC ambao unaweza kuamsha ushindani mkali wa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya NBC.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.