Zinedine Zidane, Kocha Mkuu wa Real Madrid amesema kuwa kwa kuwa bado wanaishi wana imani watakwenda kupata matokeo chanya kwenye nusu fainali ya pili dhidi ya Chelsea katika UEFA Champions League.

Nusu fainali ya kwanza iliyochezwa Uwanja wa Estadio Alfredo Di Stefano, ubao ulisoma Real Madrid 1-1 Chelsea jambo lililofanya asipatikane mbabe kwenye mchezo huo.

zidane, Bado Tunaimani Dhidi ya Chelsea – Zidane, Meridianbet

Ni Christian Pulisic dakika ya 14 alipachika mkwaju wa kwanza wa kuongoza uliwekwa usawa kibabe na nyota Karim Benzema dakika ya 29 na kumfanya afikishe jumla ya mabao 71 katika Uefa.

Kwa upande wa Kocha Mkuu wa Chelsea, Thomas Tuchel amesema kuwa walishindwa kuumaliza mchezo huo kipindi cha kwanza ambacho walipata nafasi nyingi.

zidane

Zidane amesema hawakuwa na bahati ya kupata ushindi ila kwa kuwa bado wanaishi wana kazi ya kwenda kusaka ushindi kwenye mchezo wao watakapokwenda London.

“Bahati nzuri ni kwamba bado tunaishi na tuna kazi ya kwenda kutafuta ushindi London, hakuna mashaka tutajipanga ili kupata ushindi kwenye mchezo wetu ujao,”.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

mini power roulette

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

CHEZA HAPA

11 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa