Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya klabu ya Simba, Mulamu Ng’ambi ameniambia kwamba hadi sasa wapo katika mazungumzo na tume ya ushindani( FCC ) juu ya mchakato wao wa mabadiliko ya kiuendeshaji wa klabu yao hivyo hawapo tayari kusema chochote kilichopo ndani ya mawasiliano ya pande zote mbili.

Simba

”Hili jambo la FCC na Simba bado lipo kwenye majadiliano na mpaka sasa bado tupo kwenye mazungumzo ili kuweza kufika mwisho hizo mnazoziona ni vipande vipande tu vya taarifa hivyo pale itakapofikia mwisho tutalitolea taarifa.”

”Barua tunazozipata ni nyingi kutoka FCC, na hata leo pia, hatuwezi kuongea chochote kwakuwa hayo ni mawasiliano baina yetu na wao hivyo ikifika wakati wa kulileta kwa umma tutalileta kwa utaratibu.”

Kuhusu Mohamed Dewji kutweet kudai mchakato unatakiwa uanze upya Mulamu Ng’ambi amesema ”asingependa kujadili suala ambalo lipo katika mitandao ya kijamii kwakuwa mtu anaweza kuposti chochote na inategemea ametafsiri kitu gani hivyo , hivyo tusubiri ikifika wakati tutaueleza umma.”
.
Kupitia Twitter Mohamed Dewji aliandika

Simba
Twitter Mohamed Dewji

JILIPE KWA NAMBA ZAKO ZA BAHATI NA KENO

Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.

simba, Bado Tupo kwenye Mazungumzo na FCC – Simba, Meridianbet

CHEZA HAPA


2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa