Gareth Bale ameripotiwa kubainisha kuwa anasubiri kwa hamu mkataba wake na Real Madrid kuisha akiwa Hispania.

Baada ya likizo ya kimataifa staa huyu mwenye miaka 32 kwa sasa yupo kwenye mazoezi ya ufaunguzi wa msimu huko Hispania.

Bale alirejea Tottenham kwa mkopo msimu wa 2020-21 akicheza mechi 34 na kufunga magoli 16 na asisti tatu kwa mechi zote.

Mshambuliaji huyu amekuwa akihusishwa tena na kurejea Spurs kwa mkopo, lakini kwa mujibu wa Marca staa huyu anatarajia kumaliza mkataba wake na Real akiwa Hispania

Ripoti zinataja kuwa bosi Carlo Ancelotti atalazimika kumtumia vyema nyota huyu ambaye analipwa mshahara mkubwa zaidi Real Madrid.

Gareth Bale alionekana kutokuwa na mchango mkubwa baada ya uhusiano wake na meneja Zinedine Zidane kuzorota. Amecheza jumla ya mechi 251 na kufunga magoli 105 na asisti 68 kwa Real Madrid.


FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa