Muokota mipira wa Ajax (Ballboy) alizimalizia hasira zake kwenye kifua cha mlinzi wa Roma Riccardo Calafiori baada ya beki kuyo kupoteza muda wakati Ajax ilipokuwa nyuma kwa 2-1 mchezo wa Europa League siku ya Alhamisi
Ballboy wa Ajax Akerwa na Calafiori Kupoteza Muda
Beki wa Roma Calafiori akiwa akimtolea maneno mrusha mipira wa Ajax baada ya kupigwa na mpira kifuani

Beki huyo wa kushoto alikuwa akipoteza muda kwa makusudi na timu yake ilikuwa mbele kwa 2-1 katika hatua za mwisho za mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Uropa na aliyeadhibiwa kwa matendo yake na siyo muokota mipira.

Calafiori hapo awali alipewa mpira na muokota mipira wakati ulipotoka na Roma walikuwa warushe kuelekea katika lango la Ajax dakika ya 93.

Lakini hakutaka kufanya hivyo haraka, beki wa kushoto aliutupa mpira na kuendelea kutembea na alitaka kurusha ule uliyokuwa mbali zaidi.

Na ndio hii ilimkasirisha yule ballboy ambaye aliendelea kurusha mpira mwingine kwa Muitaliano alipokaribia.

Muokota mipira aliamua kumpiga kwa nguvu kifuani na mpira baada ya kukasirika na beki huyo alitaka kuanguka iliinekane kaumizwa.

Lakini aliamua kujikaza na kuanza kumrushia maneno kijana huyo kitendo ambacho mwamuzi aliona beki huyo kakosea na kuamua kumpa kadi ya njano.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

Ballboy, Ballboy wa Ajax Akerwa na Calafiori Kupoteza Muda, Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa