Mshambuliaji wa Lees United, Patrick Bamford amesema hakujua kama mshambuliaji wa Barcelona, Ousmane Dembele ni shabiki kindakindaki wa klabu hiyo.

Dembele ni shabiki mkubwa wa Leeds na anaangalia kila mechi ambayo timu hiyo inacheza, alitonya Bamford.

“Baada ya mchezo dhidi ya Fulham, [Meslier] aliniambia ‘nataka jezi yako tafadhali. ‘Nikamwambia hakuna shida kwaajili ya nani?’ akaniambia ‘Dembele, nikamwambia subiri nani?, akanijibu ‘Kutoka Barcelona‘.

 

bamford, Bamford :Dembele Shabiki Mkubwa wa Leeds., Meridianbet

“Nikamuuliza kwanini anahitaji jezi yangu? akaniambia ‘ndio anataka yako na Kalvin [Phillips] kwasababu ni shabiki mkubwa wa Leeds na anaangalia kila mchezo’.

“Nikamuuliza una uhakika?’ Nikamwambia: ‘Sawa lakini utaniletea jezi yake kwa hilo’. Kwahiyo akanitafuta usiku katika mtandaao wa kijamii [FaceTime] siku inayofuata na kunionyesha jezi ya Barcelona yenye maandishi yaliyosomeka: ‘Kwa kaka yangu Bamford, kutoka kwa Dembele”. alisema


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

bamford, Bamford :Dembele Shabiki Mkubwa wa Leeds., Meridianbet

CHEZA HAPA

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa