Klabu ya Barcelona inaripotiwa kubadilisha mipango yao juu ya Antoine Griezmann na Philippe Countinho.

Barcelona wanapanga kusalia na Griezmann na Continho kwa msimu ujao.

Wachezaji hawa wote wamekuwa wakihusishwa na kuondoka klabuni hapo wakati Barcelona wakijaribu kuweka sawa matatizo ya kifedha.

Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, tayari kuliripotiwa nia kutoka klabu za Ligi Kuu Uingereza za kuwasaini wachezaji hao, lakini Barcelona wameamua kuwa hakuna anayeondoka Camp Nou.

Barca Wabadilika kwa Griezmann na Coutinho
Griezmann na Coutinho

Ripoti zinasema kuwa kocha mkuu Ronald Koeman anataka wachezaji hao wawili waendelee kuunda kikosi chake cha kwanza msimu ujao na itakuwa hivyo labda yatokee mabadiliko yanayoweza kuathiri upatikanaji wa mchezaji yeyote kati yao.

Barcelona wameongeza nguvu kwenye safu yao ya ushambuliaji baada ya kuwasili kwa Sergio Aguero na Memphis Depay bure, huku Messi akiwa bado hajasaini rasmi mkataba mpya klabuni hapo.

Vijana wa Koeman, wanajiandaa kupambana kwa ajili ya msimu mpya, na watafungua mbio zao za ligi kwa mechi dhidi ya Real Sociedad Agosti 15.


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa