Klabu ya Barcelona iko tayari kutoa ofa miaka 3 kuongeza mkataba wa Ousmane Dembele kulingana na taarifa katika vyombo mbalimbali nchini Hispania.

Mkataba wa sasa wa mchezaji huyo unaisha majira yajayo ya kiangazi huku mkataba mpya wa mchezaji huyo utamuweka Barcelona mpaka mwaka 2025.

 

Endapo mchezaji huyo hata ongeza mkataba Camp Nou, klabu hiyo ipo tayari kumuuza mchezaji huyo majira haya ya kiangazi ili kuepuka hasara ya kumuacha aondoke mchezaji huru msimu ujao.

Klabu za Manchester United, Juventus na Chelsea zimekuwa zikihusishwa na mchezji huyo huku zikifwatilia mwenendo wake na Barcelona.

Dembele yupo tayari kusalia lakini hakuna uhakika kama atakubali kupunguziwa mshahara wake endapo ataongeza mkataba kutokana na klabu hiyo kuyumba kutokana na janga la corona.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa