Lebron James ametimiza miongo miwili tangu alipoanza kucheza mpira wa kikapu mwaka 2003 katika timu ya ya Clevaland Cavaliers ambayo alihama na kurudi.
Lebron hakuwa staa mkubwa pamoja kufanya vizuri akiwa na timu hiyo mpaka pale alipotua Miami Heat na kubeba mataji mawili mwaka 2012/2013 na baadaye akiwa na Cavaliers mwaka 2016.
Staa wa zamani wa Lakers, Corey Brewer aliyeshinda taji la NBA akiwa na Dallas amesema LeBron hazuiliki akiwa na mpira mkononi, hata angefunga mbele yake asingeshangazwa na hilo.
LeBron anatajw akuwa mshambuliaji wa kikapu mgumu zaidi kumzuia akiwa na mpira huku Brewer akithibitisha hilo baada ya nyota huyo kuisaidia Los Angeles Lakers kutwaa taji la NBA.
Brewer ameshangazwa pia na uwezo wa nyota huyo kuwa na uwezo wa kucheza katika ubora ule ule katika Ligi ya NBA kwa miaka 18 mfululizo.
Hii ni halisi kwa ajili ya mashujaa wote! Ukiwa jasiri unavuna mkwanja kibao hapa na sloti hii ya Huangdi Casino. Waka nusu tukupe mara dufu!
Ester Jackson
Duuh hatari
warda
Lebron huwaga yupo makini sana
Lydia Emmanuel Magoti
Yupo vizuri anajua
zeiyana
lebron bado yupo kwenye ubora wake
Dorophina
Lebron ni mtu mmoja hatari sana kwenye kikapu
Hopemwaikuka
Unaanzaje sasa
Adelta
Lebron ni mtu makini Sana
Mashabiki tunamwelewa
Mwajumah
Yupo vizuri
Tatu
Yupo vizuri
Sabrina
Duuh nibalaa
aisha
Noma sana uyu
Issa
Le bron mamba. La lakers
Povel
Le bron james mambo ni moto
Saupha mohamed
Jamaa yupo vizur
Sauda
Brewer yupo sahihi kabisa
Fatuma kasomo
Jamaa yupo makini sana
Ernest
LeBron yupo vizuri sana
Shani
Le Bron MTU hatari