Mino Raiola limekua ni jina lililoshika kasi kwa wiki za karibuni husan kwenye vichwa vya habari za michezo vya Ulaya, Jina lake inawezekana likawa kubwa kuliko kufahamika kwake, ndio inawezekana kabisa watu wengi hua na majina makubwa lakini hata ukipishana nae unaweza usijue kama ni yeye.\

Ki historia Mino raiola alizaliwa Novemba 6 mwaka 1967 katika mji mdogo wa Nocera Inferiore nchini Italia, na baadae familia yake ika hamia Uholanzi ambako baba yake mzazi alikua ni mmiliki wa mgahawa ambao ulufanya vizuri sana kwa wakati huo, huku Mino akiwa moja ya wahudumu kwenye mgahawa huo na akifanya kazi hiyo baada ya kutoka shuleni.
Mino Raiola alisoma masomo ya sheria na wakati huo huo akiwa kama mchezaji wa chuo alichosoma na baadae kua kiongozi wa timu ya chuo hicho hata baada ya kumaliza masomo yake, Licha ya mapenzi yake makubwa na mchezo wa soka Mino amekua na uwezo mkubwa wa kusimamia mchezo huo mpaka kufikia hatua ya kua wakala wa baadhi ya wacheza soka wakubwa sana Duniani, kitu kilicho muongezea umaarufu zaidi.
Akiwa bado uholanzi aliweza kusimamia uhamisho wa baadhi ya wachezaji wakubwa wa nchi hiyo kuchezea vilabu vikubwa vya italia na alifanikiwa zaidi baada ya kuhamisha wachezaji kama Brian Roy wa Ajax kwenda Foggia mwaka 1992, Marciano Vink kwenda Genoa mwaka 1993 na Denniss Bergkamp pamoja na Wim Jonk wote kwenda Internazionale mwaka 1994.
Kwa miaka ya karibuni Mino Raiola amekua wakala wa wachezaji wakubwa sana kama Zlatan Ibrahimovic, Paul Pogba, Henrikh Mkhitaryan , Marco Verrati, Gianluigi Donnarumma, Matthis De light na Erling Haaaland. Wachezaji wote hawa wanawakilishwa na bwana Mino Raiola katika kuongeza mikataba ama katika kusimamia uhamisho.
MALIZA MWAKA KIBINGWA KWA KUJISHINDIA SHEA YAKO KWENYE SHILINGI 140,000,000TSH!!
Kipindi hiki cha sikukuu kinamalizika kwa namna ya kipekee. Shilingi 140,000,000 kushindaniwa katika michezo ya Evolution kwenye Kasino Mubashara ya Meridanbet. Ingia mchezoni na ujiwekee nafasi ya kushinda shea yako!!!
Rahma
Hasnte kwa taalifa
Issa
Taarifa saf
Sarah
Iko vizuri taarifa
Neema
Inapendeza
Adelta
Hili ni bonge la makala
Fatina mfingi
Imekaa powah kwa mino
Caroline
Safi Sana kachangamkia fursa
Saupha mohamed
Safi sana
[email protected]
Safi
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa meridianbet
Hopemwaikuka
Imeeleweka
Theonestina
Safi
Tatu
Asante kwa taarifa
Lydia Emmanuel Magoti
Imeereweka hiyo
samiah
Safiiii
warda
Kuna watu wanajua sana kuona fursa
Povel
Nice update
aisha
Safi sana
Dorophina
Asante kwa makala nzuri