Mcheza kikapu wa Los Angeles Clippers, Montrezl Harrell amejinyakulia Tuzo nyingine ya NBA’s Sixth Man Award kwa mara ya tatu mfululizo kwa klabu ya LA Clippers.
Montrezl amempokea mchezaji mwenzie Lou Williams aliyetwaa Tuzo hiyo kwa mara mbili mfululizo, ambaye amekuwa mshindi wa tatu na kuipa Clippers ushindi mara nne kati ya mara tano.

Harrell na Williams wameisaidia timu ya Clippers kuwa timu ya kwanza katika Ligi hiyo kuwa na wachezaji waliofunga alama nyingi wakitokea benchi.
Montrezl Harrell ameshika nafasi ya kwanza kwa kupata asilimia 58 katika waandishi wa habari za michezo na vyombo vya habari za michezo 100 na kupata alama 397.
Dennis Schroder wa Oklahoma City ameshika ya pili akipata asilimia 35 na kupata alama 328, huku Williams akiwa katika nafasi ya saba na kupata alama 127.
The Clippers wana wastani wa alama 51.5 katika benchi lao, wakiendeleza michezo bora. Kabla ya Willian kushinda Tuzo hizo, Jamal Crawford alishinda Tuzo hizo tatu mwaka 2016.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.
Amiri Kayera
Ongera yake
magdalena
pongezi kwake juhudi zake ndo zinampatia tuzo hizi
Hidaya
Hongera zake
Fatina
Pongezi zikufikie popote ulipo juhudi zako ndo zinakupa heshima iyo
felister
pongezi zake
Hope mwaikuka
Waoo! Hongera sana
Lydia Emmanuel Magoti
Pongezi zake mpambanaji kaonesha juudi ndomana tuzo kwake Kama ndio furaha nakuenderea kusonga mbele
Mwajumah
Hongera yake#Meridianbettz
aisha
Pongezi sana kwake
Dorophina
Pongezi Montreal kwa kubeba tunzo nyingine
Adelta
Mashabiki tunampa hongera yake@meridianbettz
Mwanahamisi
Hongera zake
Nasra
Hongera sana
Caroline
Hongera zakeee
Rose kapinga
Safiii unastahili pongezi!!!
Sauda
Hongera yake
Tumaini kasalile
Ligi pendwa duniani
Devotha
Hongera yake
Povel
Congrat kwake
Asia Abdy
Anastahil
Latifa juma mohamed
Congrat kwake
Mariam mtandama
Hongera yake
Genia Sikaluzwe
Anastahili
Issa
Mkali wa rekodi wa clippers
Aziza mushi
Pongezi kwake
Faraja molell
Pongez San kwake
Faraja molell
Hongera San kwake
David Pere
Pongezi zake mpambanaji kaonesha juudi ndomana tuzo kwake Kama ndio furaha nakuenderea kusonga mbele
Gabriel
Pongezi Montreal kwa kubeba tuzo
Theonestina
Hongera yake
Ester jackson
Pongezi sana Montrezl Harrre ni bahati kubwa sana hiyoo na kujituma kwako ndio mafanikio yako
Ernest
Black Power, Pongezi kwa Harrrell
Agness
Hongera sana
Sadick
Hongera kwa Montreal Harrell kushinda tuzo. Kevin Durant angeweza kupata tuzo hii kama timu yake ingeshirika fainali hizi#meridianbettz
Isaya massawe
Pongezi kwake
Janeflora malisa
Vzr sana
rama
vizuri
Shafii
Pongezi za dhati ziende kwake.
Tatu
Pongezi kwake
Zeiyana
Kwa kiwango alicho kionesha hanastaili pongezi
Neema
Hongera kwake
jullie
hongera rasta man
Saupha mohamed
Hongera sana
Khadija
hongera sana kwani kujituma ndio mpango mzima#meridianbettz
Rehema
Hongera
Sabrina
Hongera sana
Fatuma kasomo
Pongezi kwake
warda
Hongera Yake Mala tatu mfululizo sio poa#Meridianbettz
Tahiya
Pongez sana kwke
Furahav
Gud kijana.
Samiah
Gud
Chiku
Ajakosea yupo sahihi