Eastern Conference mambo yanaanza upya! Philadelphia 76ers walipiza kisasi kwa Atlanta Hawks, ubao unasoma 1-1. Twende kazi! 

Katika muendelezo wa michezo ya nusu fainali kunako NBA, mchezo wa pili kati ya Philadelphia vs Hawks, umemalizika kwa vijana wa Philadelphia kuibuka vinara kwa pointi 118-102.

Joel Embiid alikuwa kinara wa Philadelphia baada ya kupachika jumla ya pointi 40. Sambamba na ushindi wa Sixers, Embiid alikuwa miongoni mwa wachezaji 3 wanaowania tuzo ya NBA, Most Valuable Player (MVP).

76ers, 76ers Walipiza Kisasi, Jokic MVP 2020/21., Meridianbet

Waliokuwa wanawania tuzo hiyo ni Joel Embiid (Philadelphia 76ers), Nikola Jokic (Denver Nuggets) na Stephen Curry (Golden State Warriors). Hata hivyo, Jokic ndiye aliyeibuka kinara na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza wa Denver Nuggets kufanikiwa kutwaa tuzo hiyo.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa