Kocha mkuu wa Celtics Brads Stevens ameongeza mkataba na timu hiyo ya NBA, hiyo ilitangazwa siku ya Jumatano.
Mazingira ya dili hiyo hayakuwekwa wazi na Celtics ambao walimuajairi kocha huyo wa zamani wa Butler University kocha Stevens mwezi Julai mwaka 2013.
Stevens anarekodi ya kushinda 318 na kupoteza 245 tangu achukue mikoba ya kuifundisha Celtics, akiwa na umri wa miaka 43 ameshinda ubingwa mara nne mara nyingingi zaidi kuliko kocha mwingine wa Boston katika historia.
Celtics watacheza mchezo wao wa sita mfululizo kweye michezo ya mtoano msimu wa 2019-20, wakati Stevens akiwa na historia kuwaongoza kushinda mfululizo katika fainali za Eastern Conference mwaka 2017 na 2018.

“Brad ni mwalimu aliyekamilika na mtu mwenye misimamo,” alisema Mmiliki wa Celtics na Gavana Wyc Grousbeck. “Tunajivunia kuwa naye anaiongoza timu yetu kusonga mbele.
“Tunafurahia kwamba Brad Stevens ataendelea kuwa kocha wetu,”alisema makamu mmiliki wa Celtics Steven Paglicuca. “Amekuwa ni moja ya makocha bora katika NBA na nikiongozi halisi wakati na nje ya uwanja hii ni siku kubwa katika timu ya Boston Celtics.”
Celtics ipo nafasi ya tatu katika michuano ya Eastern Conference msimu huu, nyuma ya wababe Milwaukee Bucks na mabingwa watetezi Raptors.
Raisi wa Celtics wa uendeshaji Basketball Danny Ainge aliongeza: Brad ni moja ya makocha wenye mbinu na kujituma katika michezo.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Caroline
Brad ana msimamo sana
Theonestina
Asante kwa makala nzuri
Devotha
Kocha anaeongeza mkataba huyo ameaminiwa sana na club hongera sana Brad Stevens
Nasra
Msimamo wake ni mzuri
Mwajumah
Ana msimamo mzuri sana#Meridianbettz
Povel
Congrat brand STEVEN🙏🙏🙏
Furahav
Anaonekana yuko vizuri.
Adelta
Msimamo👏👏👏
@meridianbettz
Ernest
Jambo zuri kwa Celtics wamegundua kuna kitu kutoka kwa kocha Brad Stevens
Zeiyana
Brand ni mwalimu aliyekamilika na misimamo wake
aisha
Brand anajielewa sana
Lydia Emmanuel Magoti
Brad yupo vizuri sana
farida ahmadi
Yuko sahihi kabisah Brand
Sauda
Anajitambua sana
Sadick
Basketball ni mchezo wa 3 kwa umaarufu marekani na unavutia watazamaji wengi viwanjani. Kwa miaka ya karibuni umetawaliwa na Golden State Warriors. Timu nyingi za pwani ya magharibi zimekuwa zikifanya vizuri zaidi#meridianbettz
Venerose
Asante kwa taarifa
Gabriel
NBA Ni league ngumu sana hongera sana brand Steven kwa kuweza kusukuma gurudun la basketball kwan Celtics wanahitaji mchango wako
Neema
Kama bado yuko vzr ni poaw tu
Asia Abdy
Nice
Sabrina
Hongera kwa kuendelea kusalia
Salma ngende
Habari nzuri
Janeflora malisa
Yupo vzr
Dorophina
Brand yupo vizuri na amefanya jambo la muhimu sana kuongeza mkataba
Adelta
Msimamo 👏👏
@meridianbettz
magdalena
ni jambo zuri sana
Ester jackson
Pongezi nyingi kocha
Angelina
Habari njema
Samiah
Nihabari njemaaa
Fatina mfingi
Nice
Tatu
Asante kwa taarifa
felister
ndo inavyotakiwa mtu uwe na msimamo
Rose kapinga
Safiiii
Saupha mohamed
Good news
Rehema
Good news
Hope mwaikuka
Inapendeza sana
Issa
Safi
David Pere
NBA Ni league ngumu sana hongera sana brand Steven kwa kuweza kusukuma gurudun la basketball kwan Celtics wanahitaji mchango wako
warda
Stevens Anajua sana huyu acha tu Aongeze mkataba#Meridianbettz
Njiku
Good news
Shafii
Ni jambo zuri.
Amiri Kayera
Safii