Baada ya timu ya The Minnosota Timberwolves kumtimua kocha wake – Ryan Saunders, timu hiyo imempatia nafasi Chris Finch kukinoa kikosi hicho.

Timberwolves waliachana na Ryan muda mfupi baada ya kupoteza mchezo dhidi ya New York Knicks ikiwa ni mchezo muendelezo wa kupoteza michezo 8 kati ya 9 na sasa wanashika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa Western Conference.

Chris Finch aliwahi kuwa kocha wa timu ya Sheffield Sharks nchini Uingereza sambamba na kuingoza timu ya taifa ya wanaume kwenye mashindano ya kikapu ya olimpiki 2012.

Chris Finch, Chris Finch Atua Timberwolves Kama Kocha Mkuu, Meridianbet
Finch akiwa katika majukumu yake ya ukocha.

Finch ambaye alikuwa kocha msaidizi alipokuwa Toronto Raptors, amesema ” ninatazamia kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa na Gersson (Mkurugenzi wa michezo wa Timberwolves) katika kuitengeneza na kuingoza timu ambayo mashabiki wa Timberwolves watajivunia nayo.

“Tunawachezaji wazuri na nipo tayari kuanza kazi.”


TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

Chris Finch, Chris Finch Atua Timberwolves Kama Kocha Mkuu, Meridianbet

CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa