Christian Wood Akubali Kujiunga na Houston Rockets.


Mshambuliaji wa Detroit Pistons Christian Wood amekubali kujiunga na Houston Rockets kwa mkataba wa miaka 3 wenye thamani ya dola za kimarekani 41 Million.

Christian Wood amejiunga na Houston Rockets kama Mchezaji huru, lakini timu hiyo imekubaliana na mchezaji huyo kuhusu dili nono la biashara hiyo.

 

Wood ambaye hajawahi kusaini mkataba kama huo katika Ligi ya NBA lakini ameonyesha kuna kitu kikubwa zaidi ya pesa.

Ameongelea kuhusu ushindi na ushindani kwa kuwa msimu wa Detroit umekwisha na amepata nafasi katika timu ya Houston Rockets.


BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

22 Komentara

    Vizuri Sana Christian

    Jibu

    Safi

    Jibu

    ni jambo jema yeye anaangalia penye malipo mazuri

    Jibu

    Ni Jambo zuri

    Jibu

    Safi sanaaa

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

    Imekaa powah

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Jambo jema

    Jibu

    Hapo alipo ndio sehemu sahii kwake kilichobakia yeye tu kuonesha uwezo wake

    Jibu

    Kaz kaz kijana

    Jibu

    Kila kheri

    Jibu

    Kazi inaendelea

    Jibu

    Imekaa powa sana hii

    Jibu

    Kila la heri

    Jibu

    Kila la kheri.

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    safi

    Jibu

    Safiii

    Jibu

    Kazi nzur kijana

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

Acha ujumbe