Doncic Amesema Jeraha Lake la Enka Siyo "Baya Kihivyo."

Nyota wa Dallas Mavericks Luka Doncic amesisitiza kwamba Jeraha lake la kifundo cha mguu halikuwa baya sana baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Los Angeles Clippers.

Doncic alifunga eneo la kifundo cha mguu baada ya kuumia katika robo fainali ya tatu na kupoteza kwa point 130-122 katika mchezo wa tatu kwenye michuano ya Western Conference ikiwa ni mfululizo wa hatua ya kwanza siku ya Ijumaa.

Mlinzi huyo alirudi uwanjani kabla hajalazimika kwenda nje kufuatia maumivu aliyokuwa ameyapata na kumaliza akiwa na alama 13,ribaundi 10 na asisti 10.

Doncic amesisitiza halikuwa tatizo kubwa sana lakini atakwenda kufanya kipimo cha MRI siku ya Jumamosi.

“Namaanisha nimeona video. Sijui kwa namna gani ile ilitokea, lakini haikua mbaya kiasi hicho,” aliongea na waandishi wa habari.

“Kusema kweli, nilikuwa na bahati sababu ni kifundo cha mguu wa kushoto na siyo kulia kwa hiyo ni maumivu kidogo tu nahisi.

“Tutajua zaidi siku ya kesho.”

Doncic alijihakikishia kuwa angeweza kuwepo kwenye michezo minne siku ya Jumapili ya Mavericks.

Mslovenia huyo alisema ingawa alihisi angekatazwa kurudi uwanjani.

“Nilitaka kurudi unajua, nilijua bado tuna nafasi ya kushinda, kusaidiana na wachezaji wenzangu lakini ilinilazimu nikimbie kidogo na sikuweza kuulazimisha mguu wangu wa kushoto.

“Ilikuwa ni bora niende nje na kuacha mchezaji mwingine acheze.”

Doncic mwenye umri wa miaka 21 amekuwa mchezaji wa tatu kijana kuweka historia ya triple- double kwenye michezo ya kufuzu yupo nyuma ya Magic Jonhson na LeBron James.


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma zaidi ucheze

41 Komentara

    Habari nzuri wa wapenda kikapu na kwa timu ya Dallas Mavericks

    Jibu

    Asante meridianbet kwa habari mzuri

    Jibu

    Habari nzuri Doncic ametupa moyo mashabiki juu ya jeraha lake tutazidi kukuombea zaidi uwe fiti

    Jibu

    Kivumbi cha NBA kinazidi kutimuka kuelekea ukingoni sasa baada ya likizo ya lazima kutokana corona nasubiri kuona bingwa mwaka huu baada ya Toronto Raptors iliyoshinda msimu uliopita#meridianbettz

    Jibu

    Doncic safi kupambania mavericks

    Jibu

    Asante kwa taarifa
    @meridianbettz

    Jibu

    NBA kunazidi kupamaba moto kwa kasi ya ajabu sana

    Jibu

    Ni habari njema kama Doncic ajaumia sana maana anaonekana amekamia sana NBA

    Jibu

    tunafurahi kusikia ivyo

    Jibu

    Habariii hiyo ni njema kwetu

    Jibu

    Ni taarifa njema

    Jibu

    Hii habari nzuri kwetu wapenzi wa kikapu

    Jibu

    Ni habali njema

    Jibu

    Asante kwataharifa yamaendeleo mazuri

    Jibu

    Tunashukuru mashabiki kusikia hivo#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema kwa mashibiki wa kikapu

    Jibu

    Hakika ni habari njema#Meridianbettz

    Jibu

    asante kwa taarifa

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Uzidi kupata nafuu

    Jibu

    Atapona tu

    Jibu

    Good

    Jibu

    Atapona tuu mungu atamsaidia

    Jibu

    Bas ashukuliwe Mungu kwa uponyaj wake

    Jibu

    Get well soon

    Jibu

    Ujue tatizo la enka n la kujirudia hivyo Nyota wa Dallas Mavericks Luka Doncic asije akadharau tatizo hilo

    Jibu

    Kama tatizo sio kubwa itakua vizuri arudi mapema mchezoni

    Jibu

    Ni habari nzuri kwa mashabiki.

    Jibu

    Kila la kher doncic

    Jibu

    Vizuri kusikia ivyo

    Jibu

    Duuu pole yake

    Jibu

    Kivumbi cha NBA kinazidi kutimuka kuelekea ukingoni sasa baada ya likizo ya lazima kutokana corona nasubiri kuona bingwa mwaka huu baada ya Toronto Raptors iliyoshinda msimu uliopita

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Baada ya likinzo ya ugonjwa wa corona nasubiri kuona mabigwa mwaka huu

    Jibu

    Pole Sana doncic

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Taarifa nzuri

    Jibu

    Baada ya kupona Corona Karibu mchezoni

    Jibu

    Gud news.

    Jibu

    Pole yake#Meridianbettz

    Jibu

    Atapona tu kwa uwezo wa Mungu

    Jibu

Acha ujumbe