Michuano iliyosubiriwa kwa hamu kubwa ya Euro 2020 inategemewa kuanza kutimua vumbi rasmi siku ya kesho, ambapo kutakuwa na mechi moja ya ufunguzi kati ya Italy na Uturuki pale katika dimba la Olimpico mjini Rome.

Michuano hii ya ambayo uhusisha timu za taifa za bara la ulaya iliahirishwa mwaka jana kutokana na janga la Corona ambalo limeendelea kuleta matatizo makubwa kwenye masuala mbalimbali duniani.

Kutokana na hali hii, Timu wanachama wa Euro wakakubaliana kusogeza michuano hiyo mwaka mmoja mbele na ndio sababu michuano hii inaitwa Euro 2020, japo inachezwa mwaka 2021.

Kuelekea katika mechi ya ufunguzi hapo kesho ni kati ya Italia na Uturuki, hii itakuwa ni mara ya pili mataifa haya kukutana katika mashindano haya ya EURO ambapo mara ya mwisho ilikuwa Juni 11 mwaka 2000, Italia alishinda 2-1.

Katika mechi za mashindano yote hii itakuwa ni mara ya 11 kwa mataifa haya kukutana, Utukuri hajawahi kupata ushindi wowote mbele ya Italia, ameambulia sare 3 tu na vipigo 7.

Katika mechi hizo jumla ya magoli 23 yamewekwa wavuni, ni mchezo mmoja tu ambao uliisha kwa sare ya 0-0 Italia ikifunga jumla ya magoli 18 na Uturuki goli 5 tu.

Kwenye michezo mitano ya mwisho ambayo Uturuki ameshuka dimbani amepata ushindi katika mechi 4 na sare 1huku Italia ikishinda mechi zote 5.

Italia imefunga magoli 17 katika mechi hizo na wanakwenda kucheza na Uturuki ambayo imeruhusu goli 4 huku ikicheza mechi 3 bila kuruhusu goli. Kila mtu anatamani kuona namna ambavyo michuano hii itatikisa duniani na kuleta maajabu mbalimbali.

Ukiwa unaelekea kwenye michuano hii, pitia tovuti ya Meridianbet na tumekuwekea section maalum ya EURO 2020, ili uweze kuweka jamvi lako na kujishindia mkwanja mrefu msimu huu.

WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

6 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa