Michuano ya mataifa ya Ulaya EURO 2020 ililazimika kusitishwa kwa muda baada ya lile wimbi la COVID-19 kuibuka na kuua watu wengi, huku ikisababishwa usafiri wa watu kuzuiwa kwa muda kwenye nchi nyingi ikiwamo Russia.
Hatimaye baada ya ukweli kwamba michuano hiyo ya EURO 2020 itaanza kupigika hivi karibuni, Russia imeamua kutangaza kuwa itafungua njia za treni za Allegro kutoka St. Petersburg mpaka Helinski.
Michuano hiyo ya Ulaya inategemewa kuanza kutimua vumbi Juni 11 mpaka Julai 11 2021, St. Petersburg itakuwa mwenyeji wa mechi saba: Belgium-Russia (Juni 12), Poland-Slovakia (Juni 14), Finland-Russia (Juni 16), Sweden-Slovakia (Juni 18), Finland-Belgium (Juni 21), Sweden-Poland (Juni 23) pamoja na michezo ya robo fainali ya mashindano hayo Julai 2.
Rusisia Iliamua kupunguzi uhamaji wa watu kwa upande wa treni za wasafiri wa kimataifa kipindi cha Covid 19, huku kukiwa na njia ya Belarus na Abkhazia zikiwa wazi, ila kutokana na EURO 2020 tunategemea njia nyingi zaidi kufunguliwa.
Upatikanaji wa chanjo pamoja na njia mbalimbali za kuzuia madhara ya COVID-19 imeanza kuleta matunda na kushuhudia watu wengi wakianza kurudi kwenye shughuli zao, huku mashabiki pia wakiweza kurudi uwanjani kuzipa hamasa timu zao. Bila shaka wadau wengi watafurahi kushuhudia soka la EURO 2020 hivi karibuni.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.
Yani hawa uwaga nawaminia sana
Mambo ni moto
Safii