Eden Hazard ingizo jipya ndani ya Real Madrid amefunga bao lake la kwanza kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea Klabu ya Chelsea.

Hazard, Hazard Afunga Goli Lake la Kwanza Champions League, Meridianbet

Hazard alifunga bao hilo kwa mkwaju wa penalti dakika ya 7 huku lile la pili likiwa ni la kujifunga kutoka kwa mchezaji wa Inter Milan,  Achraf Hakimi dakika ya 59.

Inter Milan ilikubali kufungwa mabao 2-0  ikiwa nyumbani,  Uwanja wa San Siro na kuifanya ipoteze jumla ya mechi mbili na kuwa na sare mbili kati ya mechi nne ilizocheza ndani ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Kwenye msimamo wa kundi B ipo nafasi ya nne na Madrid wao wapo nafasi ya pili na pointi zao kibindoni ni 7.

Hazard, Hazard Afunga Goli Lake la Kwanza Champions League, Meridianbet

Tangu ajiunge na Madrid hajawa kwenye ubora wake kutokana na kusumbuliwa na majeraha jambo ambalo limekuwa likimuweka nje ya uwanja muda mrefu.


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

17 MAONI

  1. angu ajiunge na Madrid hajawa kwenye ubora wake kutokana na kusumbuliwa na majeraha jambo ambalo limekuwa likimuweka nje ya uwanja muda mrefu.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa