Kama ilivo kwa malegendari wote katika michezo yao, Kobe ameacha rekodi zilizotukuka katika uwanja wa kikapu. Sitazijadili leo. Inatosha tu kutambua kwamba amefanya mengi makubwa. Nataka nigusie maisha yake kidogo. …
Makala nyingine
Kalamu yangu hii inapewa nguvu na Emiliy Dickinson. Mshairi mahiri sana nchini Marekani. Emily alisema, “ukitaka dunia isikusahau, fanya makubwa, halafu ufe mapema.” Sijui alifikiria nini kusema vile, lakini maneno …
Mpira wa kikapu ni aina ya michezo inayopendwa katika sehemu nyingi za dunia na watu wengi hutamani mchezo huu. Mara nyingi hufanywa ukumbini wakati timu mbili za wachezaji wanajaribu kuingiza …
Kevin Durant mcheza kikapu wa marekani, amesema “ mara kwa mara nimekuwa mshabiki mkubwa wa soka na nilihitaji kuingia kabisa kwa maana kuwekeza kwenye huu mchezo mimi na timu …