Ratiba za soka leo Jumanne Mei 25, 2021 katika ligi mbalimbali:- Tanzania – ASFC 16:00 Mwadui FC vs Young Africans England – National League 21:00 Altrincham vs Eastleigh 21:45 Barnet …
Makala nyingine
Ratiba za soka leo Jumamosi Mei 22, 2021 kwenye Ligi mbalimbali Ratiba ni kama ifuatavyo:- England – Championship: Play-off 14:30 Brentford vs AFC Bournemouth 20:30 Swansea City vs Barnsley England …
Kiungo Bruno Fernandes amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa mwaka wa Manchester United licha ya wachezaji wenzake kumpigia kura beki wa kushoto Luke Shaw. Fernandes amechaguliwa kuwa Bora na mashabiki. Kiungo …
Tetesi za soka barani Ulaya leo Jumanne Mei 18, 2021 zinasema:- Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa England Harry Kane kwa mara nyengine ameambia Tottenham anataka kuondoka katika klabu hiyo ya ligi …
Mabingwa wa Bundesliga wameungana na ndugu zao Borussia Dortmund na RB Leipzig katika kutangaza kutounga mkono mashindano mapya ya Ulaya. Siku ya Jumapili timu 12 kutoka England, Spain na Italia …
Kocha wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer aeleza kwamba anatamani na kuamini kwamba timu yake itafika fainali ya Europa League na kuchukua kombe hilo. Manchester United walikuwa mwa miongoni mwa …
Nimesikia maajabu mengi sana duniani ikiwemo mchanga unaotembea katika hifadhi ya taifa Ngorongoro. Nimesikia juu ya miti inayotembea ndani ya msitu mkubwa wa Amazon. Unajua bado siamini kama ipo chemchem …
Klabu ya Real Madrid imeingia kwenye lawama dhidi klabu ya S.A.D Villaverde kufuatia timu yao ya vijana kuwafunga wapinzani wao mabao 31-0. Timu ya vijana ya chini ya miaka 9 …
Mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 21, amedokeza kuwa nafasi ya yeye kuondoka Paris St-Germain itategemea ridhaa ya wazazi wake. (Copa 90, via Sun on Sunday) Hayo yamejiri baada ya Mfaransa …
Lilikuwa pambano lao la mwisho kuwaaga mashabiki wa ngumi ulimwenguni. Umri wao ulishaenda na hakukuwa na uwezekano wa wao wawili kukutana tena. Hii ilikuwa ni mara ya tatu wanakutana, mara …
Nahodha wa Klabu ya Manchester United Harry Maguire amesema kuwa hawakustahili kufungwa usiku wa kuamkia leo mabao 3-2 dhidi ya RB Leipzig kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. United …
Cristiano Ronaldo ameweka mashakani kibarua cha Kocha Mkuu wa Barcelona, Ronaldo Koeman kubaki ndani ya timu hiyo baada ya usiku wa kuamkia leo kukubali kupoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi …
Sababu kubwa na nzito iliyowafanya PSV wamsajili Ronaldo De Lima baada ya World Cup ya Marekani 1994, ni kasi yake. Walijua mabeki Uholanzi na Ulaya nzima hawakuwahi kukutana na mshambuliaji …
Mastaa wengi duniani wameendelea kutoa pole kutokana na kifo cha Diego Maradona amefariki akiwa na umri wa miaka 60, siku za mwisho alifanyiwa upasuaji wa ubongo akiwa anaedelea vizuri na …
Eden Hazard ingizo jipya ndani ya Real Madrid amefunga bao lake la kwanza kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea Klabu ya Chelsea. Hazard alifunga …
Kipa wa zamani wa timu ya Taifa ya England Peter Shilton ambaye alikuwa langoni kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia kati ya England dhidi ya …
Kifo cha gwiji wa soka ulimwenguni Diego Maradona kimeshitua watu wengi na kimefanya kuwa habari kubwa kwenye vyombo vya habari sehemu mablimbali dunia. Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 60 …