Lovren Kutua Zenit

Beki wa Liverpool, Dejan Lovren yupo mbioni kujiunga na club ya Zenit St. Petersburg kwa ada ya pauni 11 milioni.

Lovren alijiunga na Liverpool akitokea Southampton mwezi July 2014 kwa ada ya uhamisho wa pauni 20 milioni. Kwa miaka sita aliyokaa Merseyside amehusika kwenye ubingwa wa ligi kuu walioutwaa Liverpool na taji la club bingwa barani Ulaya.

Hata hivo, Mcroatia huyu mwenye miaka 31 amekuwa na wakati mgumu wa kupata nafasi katika kikosi cha kwanza kutokana na uwepo wa Virgil Van Djik, Joe Gomez na Joel Matip. Msimu huu Lovren amecheza jumla ya michezo 15 pekee katika mashindano yote.

Liverpool wapo tayari kumuacha Lovren aondoke iwapo atafikia makubaliano binafsi na club ya Zenit. Lovren amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na majogoo wa jiji na bado wana kipengele cha kumuongezea mwaka mmoja iwapo watahitaji kufanya hivo.


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma Zaidi

48 Komentara

    Bora Aende huko Ataweza pata nafasi katika kikosi cha kwanza

    Jibu

    Klopp asingemwachia beki huyo kwanza

    Jibu

    Ni vizur kwakuwa maamuzi kafanya mwenyew

    Jibu

    Unaweza ukamuita beki kisiki pale Liverpool kama zenit wataipata saini yake tunategemea wabadiliko makubwa sana clabuni hapo zenit

    Jibu

    Sawa tu

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Liverpool hawakutakiwa kumuuza kwanza lovren wangesubilia kwanza

    Jibu

    Ni maamuzi mazuri aliyochukuwa

    Jibu

    Ni vizuri kwa maamuzi yake aliyechukua

    Jibu

    Pengine ameona ndo sehem pekee ya yeye kucheza

    Jibu

    Vizuri bora aende tuu anaweza akapata nafasi

    Jibu

    Ni maamuzi mazuri aliyochukuwa

    Jibu

    nakutakia mafanikio mema katika safari yako yako mpya

    Jibu

    Habadilishe upepo nae

    Jibu

    Klopp hapa amekurupuka kumuuza lovren angesubili sana

    Jibu

    Maamuzi mazuri aliyochukua#meridianbettz

    Jibu

    Klopp kama umemuza mchezaji anatakiwa asajili kiungo mwingine haraka ili kuziba pengo LA lovren

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Ni amaazi mazuri aliyo ya chukuwa ni Bora akabadishe upepo

    Jibu

    Safii hii

    Jibu

    Ni mahamuzi mazuri Bora abadilishe upepo

    Jibu

    mwache aende pengine ni sehemu pekee anayoweza kucheza

    Jibu

    Abadili upepotu

    Jibu

    Ni vizuri#Meridianbettz

    Jibu

    Usajiri mzuri kwa zenit.

    Jibu

    Safi sans zenit

    Jibu

    Safar njem mkalii

    Jibu

    Good

    Jibu

    Nenda tu zenit ukapate namba ya kudumu.

    Jibu

    Nenda salaama

    Jibu

    Ni vzr

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Vizur kambi popote!!

    Jibu

    Kumwacha klopp kabugi

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Maamuzi mazuri

    Jibu

    Kokote kambi aende tu

    Jibu

    maisha kokote ila ni mchezaj alie itumikia liverpool vyema kabisa

    Jibu

    Safi tu

    Jibu

    Lovren mchezaji mahiri aliyetumikia Liverpool ipasavyo tunategemea akaonyeshe maajabu zaidi zenit.

    Jibu

    Umri umemtupa mkono Lovren lakini ameshavuna alichokipanda ndani ya Liverpool ni heshima kubwa sana kwake.

    Jibu

    Bora aende Mana hakuwa na msimu mzuri Liverpool

    Jibu

    Habari njema kwa zenit kijana kapige kazi umetoka timu kubwa sana

    Jibu

    Ni vizurii

    Jibu

    Croatia ina vipaji vingi sana. Lakini wakati anacheza mara kwa mara beki yao iliruhusu magoli mengi sana #meridianbettz

    Jibu

    ni uwamuzi mzuri aliochukua

    Jibu

    Kucheza mpira Ndio kazi take popote anakipiga tu

    Jibu

Acha ujumbe