Maguire: Tumeumia Kutolewa

Nahodha wa Klabu ya Manchester United Harry Maguire amesema kuwa hawakustahili kufungwa usiku wa kuamkia leo mabao 3-2 dhidi ya RB Leipzig kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

United ilianza kuokota mpira wavuni mapema dakika ya 2 kupitia kwa Angelino na lile la pili lilifungwa dakika ya 13 na Amadou Haidara na kuwafanya waende mapumziko wakiwa nyuma kwa mabao 2-0.

 

Kipindi cha pili United iliokota nyavuni bao la tatu kupitia kwa Justin Kluivert dakika ya 69 na United walipata penalti dakika ya 80 iliyofungwa na Bruno Fernandes na lile la pili walipewa zawadi baada ya Ibrahima Konate kujifunga dakika ya 82.

Kichapo hicho Uwanja wa Red Bull Arena kinawafanya United chini ya Kocha Mkuu, Ole Gunnar kufungashiwa virago kwa kuwa walikuwa wanahitaji sare ili wajihakikishie nafasi ya kufuzu 16 bora ndani ya kundi H ila mambo yalikuwa magumu kwao.

Maguire amesema:”Tumeumia kutolewa na hatukupaswa kufungwa lakini kwa kuwa ni matokeo hatuna chaguo,”.


MALIZA MWAKA KIBINGWA KWA KUJISHINDIA SHEA YAKO KWENYE SHILINGI 140,000,000TSH!!

Kipindi hiki cha sikukuu kinamalizika kwa namna ya kipekee. Shilingi 140,000,000 kushindaniwa katika michezo ya Evolution kwenye Kasino Mubashara ya Meridanbet. Ingia mchezoni na ujiwekee nafasi ya kushinda shea yako!!!

SOMA ZAIDI

17 Komentara

    Pole yenu

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Pole yenu

    Jibu

    Manchester united Jana umeharibu sana

    Jibu

    Polen sana manchrster

    Jibu

    Kocha anazingua sana na ndo sababu ya united kufungwa

    Jibu

    Poleni sana

    Jibu

    Poleni sana

    Jibu

    Poleni sana

    Jibu

    Sio kilasiku mpila uwemzuri nimakosa madogo madogo nayanaweza kulekebisha sio zianze lawama sasa kidogo wamealibu tuwangarie mbele sasa

    Jibu

    Kwa kweli wameniuzi sana hawa Man U Mana nilikosa pesa

    Jibu

    Wamestail kutowelawah wamecheza chini ya kiwango Sana

    Jibu

    ndo mchezo lkn

    Jibu

    Man u wanafeli wapi

    Jibu

    Poleni sana

    Jibu

    Poleni sana ndio mpira

    Jibu

    United dah

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.