Nyumbani Basketball FIBA World Cup

FIBA World Cup

Michezo

Michezo Yasimama Marekani Kutokana na Ubaguzi wa Rangi

41
Tasnia ya michezo nchini marekani imekumbwa na sintofahamu bada ya baadhi ya michezo kusimamishwa kugomea ukiukwaji wa haki za kibinadamu zinazofanywa na Polisi nchini humo, wanamichezo kutoka michezo mbali mbali kama mpira wa kikapu, Tennis, Rugby na Gofu wameahirisha...

Kobe Bryant na Ukitaka Dunia Isikusahau, Fanya Makubwa, Halafu Ufe Mapema (PART TWO)

37
Kama ilivo kwa malegendari wote katika michezo yao, Kobe ameacha rekodi zilizotukuka katika uwanja wa kikapu. Sitazijadili leo. Inatosha tu kutambua kwamba amefanya mengi makubwa. Nataka nigusie maisha yake kidogo. Ameacha utajiri wa dola 500 milioni. Kobe alitumia ujana wake...

Kobe Bryant na Ukitaka Dunia Isikusahau, Fanya Makubwa, Halafu Ufe Mapema (PART ONE)

41
Kalamu yangu hii inapewa nguvu na Emiliy Dickinson. Mshairi mahiri sana nchini Marekani. Emily alisema, "ukitaka dunia isikusahau, fanya makubwa, halafu ufe mapema." Sijui alifikiria nini kusema vile, lakini maneno yake yanaweza kuwa na uhalisia. Ndiyo, yanaweza kuwa na uhalisia....

Ijue Historia Ya Kadi Katika Kandanda

50
Mchezo wa soka umeshika hatamu mwishoni mwa karne ya 19 katika miaka ya 1850 mpaka 1900. Ndio kipindi ambacho mchezo huu pendwa zaidi duniani ulianzishwa na vilabu vingi vikongwe duniani kama Stoke City, Sheffield Wednesday, Manchester United na vinginevyo...

Wachezaji 5 Wanaongoza kwa Kadi Nyekundu

4
Wachezaji wengi hupewa adhabu ya kadi nyekundu chache sana kwenye soka, lakini wapo ambao maisha ya adhabu yamekua ya kawaida kwao. Kadi nyekundu ni chaguo la mwisho kabisa la waamuzi kumudu mchezo iwapo ukiwa hauendi sawa. Mara nyingine adhabu...

MOST COMMENTED

Michael Ballack – Ni Sahihi Timo Werner Kujiunga na Chelsea.

48
Michael Ballack ameunga mkono maamuzi ya mchezaji Timo Werner kuchagua kujiunga na Chelsea badala ya Liverpool, na kusema kwamba Mshambuliaji huyo wa zamani wa...

HOT NEWS