Burudani ya mchezo wa kikapu inaendelea kunoga viwanjani, Miami Heats imejihakikishia kucheza nusu fainali kunako Eastern Conference.

Licha ya kuwakosa nyota wao ambao ni majeruhi kwa sasa, Heats wamefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali kunako NBA msimu huu baada ya kuwagaragaza Atalanta Hawks, 97-94 ndio matokeo ya ushindi kwa Miami.

Baada ya mchezo huu, matokeo ya jumla yanasoma 4-1 baada ya timu hizi kuchuana kwenye mizunguko 5 kati ya 7 ya hatua ya mtoano kwenye Eastern Conference.

Heats, Heats Watinga Nusu Fainali NBA 2022, Meridianbet
Victor Oladipo

Akiwa ametoka kuwa majeruhi siku chache zilizopita na, amechukua nafasi ya Jimmy Butler, Victor Oladipo aliiongoza Heats kwenye mchezo huu ambao timu zote zilipambana kwa kila hali. Oladipo ameliza mchezo kwa kupachika jumla ya pointi 23 kati ya 97 za ushindi.

Kwa matokeo haya, Miami watachuana mshindi kati ya Philadelphia 76ers na Toronto Raptors kwenye mchezo wa nusu fainali ya Eastern Conference.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa