Kwani Los Angeles Lakers Wamekumbwa na Nini?

Timu ya Los Angeles Lakers wanapitia kipindi kigumu kwa sasa na wameenda bila ushindi wowote katika mchezo wa pre-season wa kirafiki dhidi Sacramento Kings kwa alama 116 – 112.

Kwa mara ya pili mfululizo kocha Frank Vogel alikuwa na kikosi kamili lakini Lakers wameshindwa kumalimza pre-season bila kuibuka na matokeo chanya.

Sacramento hawajafungwa katika mchezo yote minne ya pre-season  na De’Aron Fox aliongoza safu ya ushambuliaji kwa lama 21 akiwa na asisti tano.

Kiwango kizuri cha LeBron James kilishindwa pia kuisadia Lakers mknongwe huyo sasa yupo katika msimu wake wa 18 na tayari amepata alama 30, ribaundi 6 na kusadia 6na kuzuia 2.

Russell Westbrook pia alikuwa kwenye fomu na lamapata alama 18, asisti tano na ribaundi 3, wakati Anthony David alipata alama 14.

James alisema ” Nimekuwa nikifanya mazoezi binafsi tu na kukimbia lakini sijacheza kama wiki sita, hakuna five on five, najisikia poa tu.


PIGA MKWANJA NA LA ROUGE

Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.