LA Clippers Wameitoa Dallas Mavericks

Anga la NBA linaendelea kutimua vumbi kwa michezo ya Mtoano (Play-Off). LA Clippers walikuwa uwanjani kukipiga dhidi ya Dallas Mavericks jijini Orlando, Florida.

LA Clippers wafuzu hatua ya pili kunako NBA Play- Offs.

Kawhi Leonard alikuwa kinara wa mchezo huo baada ya kufunga point 33 katika ushindi wa pointi 111-97 dhidi ya Dallas Mavericks na hivyo mchezo huo kumalizika kwa ushindi wa 4-1.

Kwingineko katika michezo ya Play- Off, Denver Nuggets waliwatoa Utah Jazz kwa ushindi wa pointi 119-107. Mshindi wa jumla wa mchezo huu, atakutana na Clippers katika mzunguko wa pili.

Bolton Celtic wamewalaza Toronto Raptors katika mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili kwa ushindi wa pointi 112-94.


SHINDA NA HILO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza Sasa.

11 Komentara

    NBA inahesabika kuwa ligi namba one ya Basketball duniani ambapo kuna wachezaji kutoka kila pembe duniani#meridianbettz

    Jibu

    NBA naikubali sana katika mchezo wa kikapu

    Jibu

    Kawahi leonard ndio aliyekuwa kinara kwenye mchezo huo NBA

    Jibu

    NBA naikubali Sana katika mchezo wakikapu

    Jibu

    NBA ni ligi namba moja ya ligi basketball duniani

    Jibu

    NBA ni ligi naikubali sana.

    Jibu

    Hii ligi ya NBA naipenda sanaaa

    Jibu

    NBA iko poa sana

    Jibu

    NBA safi sana

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    NBA haina mpinzani

    Jibu

Acha ujumbe