Timu ya Los Angels Lakers imefanikiwa kuifunga Brooklyn Nets ya Durant alama 126 kwa 101. Katika mechi ya jana, Lakers walionekana kutawala mchezo huo kiwango kikubwa.
Viajan wa Los Angels walionesha mchezo mzuri licha ya kukutana na wachezaji nyota wakubwa kama Kelvin Durant, ambaye tangu arejehe toka majeraha ya mguu aliwaongoza Nets kushinda alama 22 na rebounds 7 katika dakika 24.
/cdn.vox-cdn.com/uploads/chorus_image/image/69108001/1311875926.0.jpg)
Katika mchezo huo Lakers waliwakosa nyota wao Lebron James, Antony Davis na Kayle Kuzma, kukosekana kwa wachezaji hao kuliwafanya Nets kuona wameshinda mechi hiyo mpaka pale ambapo Andre Dummond aliingia na kuleta mabadiliko makubwa. Drummond alikusanya alama 20 na rebounds 11 katika dakika 22 tu alizocheza.
Nets sasa anashika nafasi ya pili katika Eastern Conference akiwa na alama 679 sawa na 76ers.
INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.
Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.
warda
La-lakers imetisha sana
Sarah
La-lakers ni noma
Adelta
Hongera kwao
Venerose
Safi sana
Hopemwaikuka
Kbabe