Tukizungumzia derby sio tu kwenye soka, hata mchezo wa kikapu unaderby zake. LA Lakers na LA Clippers ni majirani, ila wamepata matokeo tofauti usiku wa kumkia leo.
Lakers walikuwa uwanjani kuchuana na Memphis Grizzlies katika muendelezo wa NBA msimu huu. Ushindi wa pointi 94-92 uliwatosha vijana hawa wa jiji la Los Angeles na kukamilisha matokeo ya 6-2.

LeBron James na Anthony Davis walikuwa mashujaa wa Lakers kwa kupachika pointi 26 kila mmoja. James na Davis wameweka historia ya kuwa wachezaji wawili wa timu 1 kufunga zaidi ya pointi 25 kwenye mchezo mmoja ndani ya miaka 10 iliyopita.
LA Clippers walikuwa wakichuana na San Antonio Spurs katika mchezo ambao Clippers wamepoteza kwa matokeo ya pointi 116-113.
Clippers wanapoteza mchezo wa 3 na sasa wanamatokeo ya 5-3 kwenye msimu huu wa NBA.
Licha ya Kawhi Leonard kuipatia Clippers pointi 30 na kutoa pasi 10 za magoli, ni Patty Mills aliyehakikisha Spurs wanaibuka kidedea. Mills alipachika pointi 27 akiwa ametoka benchi na kucheza kwa dakika 28 pekee.

Matokeo ya michezo ya NBA iliyochezwa jana (Jumanne)
Brooklyn Nets 130-96 Utah Jazz, Denver Nuggets 123-116 Minnesota Timberwolves na Chicago Bulls 111-108 Portland Trail Blazers.
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE! Unasubiri nini?
Adelta
Good
Magdalena
Safi sana Lakers lakini inabidi wapambane sana safari bado ni ndefu
Dorophina
Laker jembe wapo vizuri
Hopemwaikuka
Lakers chama lang
Saupha mohamed
Lakers wapo vizuri
Khadija
Nawakubali sana
Rahmal
Lakers wapo poa sana
Sarah
Lakers wapo vizuri sana
Caroline
Poleni sana clippers
Mwanahamisi
Nawakubali sana
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif meridianbet
felister
Lakers fundi
Samira
Lakers wanajituma sana
Lydia Emmanuel Magoti
Lakers wapo vizuri
Shakila mrope
Laker wako vizuri san
Gabriel
Lakers wapo vizuri
warda
Lakers ushindi jambo la kawaida sana
Sania
Safi sana Lakers
Tatu
Lakers wapo vizuri
Sabrina
Lakers wako vizuri
Issa
Lakers on fire