Nyumbani Basketball NBA All Stars

NBA All Stars

curry

Alama 47 Za Steph Curry Zashindwa Kuikoa Warriors!

4
Katika NBA hapo jana, Steph Curry alishindwa kuiokoa timu yake kuepuka kichapo cha 119 - 114 baada ya vita kali yake na Jason Tatim. Hayo yalitokea katika mechi ya kukata na shoka kati ya Boston Celtics na Golden State...
Lakers wawafunga nets

LA Lakers Yaichapa Brooklyn Nets 126-101

5
Timu ya Los Angels Lakers imefanikiwa kuifunga Brooklyn Nets ya Durant alama 126 kwa 101. Katika mechi ya jana, Lakers walionekana kutawala mchezo huo kiwango kikubwa. Viajan wa Los Angels walionesha mchezo mzuri licha ya kukutana na wachezaji nyota wakubwa...
kevin durant

Durant Apigwa Faini Ya Dola 50,000 Kwa Lugha Chafu

Nyota wa mpira wa kikapu wa timu ya Brooklyn Nets, Kevin Durant amepigwa faini ya kulipa faini ya dola 50,000 kwa kosa la kutumia lugha ya matusi kwa mwigizaji Michael Rapaport katika mazungumzo binafsi ya mtandaoni. Siku ya jumatano kuliibuka...
Chicago Bulls

Chicago Bulls: Nikola Vucevic ndani dhidi ya Warriors

Chicago Bulls wanataka kurudi mchezoni baada ya kupoteza dhidi ya San Antonio Spurs wakati wanapochuana na Golden State Warriors, mchezo huo utakaochezwa Jumatatu usiku. Chicago Bulls watakuwa wanajaribu kupata ushindi wao wa kwanza, tangu tarehe ya mwisho ya biashara ambayo...
Kevin Durant

Kevin Durant Kuendelea Kukaa Nje ya Uwanja.

9
Mchezaji nyota wa timu ya Brooklyn Nets - Kevin Durant ameripotiwa kuendelea kukaa nje ya uwanja kutokana na majeruhi. KD hajarejea uwanjani tangu alipocheza dhidi ya Golden State Warriors (Februari 13 2021), hii ni baada ya kuumia nyonga ya...
Giannis

Giannis Ang’ara Akiwa na Team LeBron.

11
Katika mchezo wa NBA All Stars, mchezaji nyota wa Milwaukee Bucks - Giannis Antetokoumpo alionesha umwamba wake na kung'ara akiwa na Team LeBron. Akiwa kwenye timu moja na wachezaji mahiri kama Damian Lillard, Stephen Curry na Chris Paul. Giannis hakuwa...

MOST COMMENTED

Eriksen Ruksa Kuondoka Inter!

13
Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza. Christian Eriksen aliwika EPL na siku chache zilizopita alinukuliwa akiwekawazi hana mpango wa kurudi EPL, sasa Inter...

Berkgamp Aitaka Arsenal

HOT NEWS