Mambo ni shwari kwenye viwanja kadha wa kadha kunako mchezo wa kikapu – NBA. Boston Celtics, Milwaukee Bucks na wengine kibao mambo ni safi.
Ulikuwa ni kama mchezo wa marudiano ambao uliturudisha 2020 kwenye NBA – Eastern Conference pale ambapo Boston Celtics walichuana na Miami Heats.

Celtics waliibuka kidedea kwa ushindi wa pointi 107-105. Huu ni ushindi wa 6 kwa Celtics msimu huu. Jayson Tatum (pointi 27) na Jaylen Brown (pointi 21) walitosha kupeleka shangwe Boston.
Upande wa pili kulikuwa na mchezo wa Milwaukee Bucks vs Detroit Pistons. Bucks wameendelea kuwa bora kwa kushinda michezo 3 mfululizo.

Giannis Antetokounmpo aliisaidia Bucks kupata pointi 25 kati ya jumla ya pointi 130-115 zilizowapa ushindi Bucks dhidi ya Pistons.
Kwingineko kunako michezo ya NBA iliyochezwa Jumatano hii.
Indiana Pacers 114-107 Houston Rockets, Orlando Magic 105-94 Cleveland Cavaliers, Philadelphia 76ers 141-136 Washington Wizards, Charlotte Hornets 102-94 Atlanta Hawks, New York Knicks 112-100 Utah Jazz, Oklahoma City Thunder 111-110 New Orleans Pelicans, Phoenix Suns 123-115 Toronto Raptors, Los Angeles Clippers 108-101 Golden State Warriors na Sacramento Kings 128-124 Chicago Bulls
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Shakila mrope
Safi san NBA
Saupha mohamed
Nice
Adelta
NBA wako vizuri
Caroline
Hongera zao
Lydia Emmanuel Magoti
NBA wapo vizuri
Mwanahamisi
Nice
Dorophina
NBA kumenoga
Rahmal
Nba kumepamba moto
Angelina
Goodnews
Magdalena
NBA kuko vizuri
Fatina mfingi
Nice
aisha
Nice
Sania
NBA kumekucha
Issa
Celtic ni wakati wao
Hopemwaikuka
Fresh sana
Sarah
Mambo nimoto kwa NBA
warda
Na kweli mambo safi