Safari ya Denver Nuggets ya kutopoteza michezo 8, imesitishwa na Boston Celtics katika muendelezo wa NBA msimu huu.
Licha ya Celtics kuongozwa kwa pointi 79-65 katika robo ya tatu, mambo yalikuwa tofauti baada ya kupindua matokeo na kuwa 31-31.
Jayson Tatum alipachika pointi 28 na kucheza mipira 10 iliyokufa. Mpaka mchezo unamalizika pale Ball Arena, Boston Celtics walikuwa na pointi 105-87.

Kwingineko kunako NBA, DeMar DeRozan alipachika pointi 2 za ushindi kwenye mchezo wa San Antonio Spurs vs Dallas Mavericks (119-117). Atlanta Hawks wamewafunga Charlotte Hornets kwa pointi 105-101. New Orleans Pelicans wamewashinda Cleveland Cavaliers kwa pointi 116-109.
Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.



Adelta
Good
warda
Hongera yao