NBA: Eastern Conference Bado Pagumu!

Msimu wa 2020/21 kunako NBA unaendelea kuyoyoma siku baada ya siku. LA Clippers vs Phoenix Suns kunako fainali ya Western Conference, Eastern Conference mambo bado!

Baada ya kushinda michezo 4 kati ya 5 dhidi ya Utah Jazz, Clippers wamefuzu hatua ya fainali ya NBA upande wa magharibi na kuondoa utawala wa LA Lakers. Ushindi wa pointi 131-119 unawapaisha Clippers mpaka fainali.

Upande wa mashariki, Eastern Conference. Philadelphia 76ers na Brooklyn Nets wamepindua meza. Mchezo wa 7 utaamua nani kucheza fainali.

Seth Curry ameisaidia 76ers kupata ushindi wa pointi 104-99 kwa kupachika jumla ya pointi 24. Kwa matokeo haya, ubao wa 76ers vs Hawks unasoma 3-3 kama ambavyo mchezo wa Nets vs Bucks ulivyo.

Jumamosi na Jumapili kuamua nani kucheza fainali ya Western Conference.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

Acha ujumbe