NBA imefikia kwenye hatua yenye burudani lukuki. Hatua ya nusu fainali inaendelea kurindima kwenye viwanja kadha wa kadha.

Atlanta Hawks, yawalaza na viatu Philadelphia 76ers kunako mchezo wa kwanza wa hatua ya mtoano (nusu fainali). Trae Young alipachika jumla ya pointi 35 katika mchezo ambao Hawks walishinda kwa pointi 128-124.

NBA, NBA: Hawks Yawazidi Kete 76ers., Meridianbet
Trae Young (kulia) akichuana na walinzi wa 76ers.

Upande wa pili kwenye NBA, LA Clippers wamewaburuza Dallas Mavericks kwenye mchezo wao wa kwanza. Clippers wameibuka kidedea kwa jumla ya pointi 126-111 ukiwa ni mchezo wa kwanza kati ya 7 kwenye hatua ya nusu fainali.

Bingwa wa Eastern Conference atachuana na bingwa wa Western Conference kwenye mchezo wa fainali ya NBA mwezi ujao.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa