NBA: LA Lakers Waendeleza Ubabe kwa Miami

Fainali ya NBA inaendelea kupamba moto. LA Lakers dhidi ya Miami Heats ni mpambano wa nguvu, patashika nguo kuchanika.

Mchezo wa pili kati ya 7 umemalizika usiku wa kuamkia leo (Jumamosi) na LA Lakers wameibuka tena kidedea kwa ushindi wa pointi 124- 114.

LeBron James ameendelea kuonesha ubora wake katika mchezo wa kikapu, kwa matokeo haya anaimani familia ya Kobe Bryant imefurahia matokeo ya LA Lakers.

LeBron alipachika pointi 33 wakati mchezaji mwenzake Anthony Davis aliweka pointi zingine 32 katika mchezo ambao LA Lakers walivaa jezi zao maarufu za “Black Mamba” kama sehemu ya kumuenzi lijendi wa timu yao – Kobe Bryant.

James amesema, “Siku zote ni kitu cha kipekee kumuwakilisha mtu mwenye maana kubwa sana – sio kwenye mchezo pekee bali hata kwenye timu ya Lakers aliyoitumikia kwa zaidi ya miaka 20.

“Kwa sisi kumuenzi uwanjani ndio kitu kikubwa zaidi. Tupo pamoja na familia ya Bryant. Tunawapenda na tunaimani tumewafurahisha kwenye mchezo wa leo.”

Mchezo wa 3 wa fainali ya NBA utachezwa usiku wa kuamkia Jumatatu. Mpaka sasa, LA Lakers wanaongoza kwa ushindi wa 2-0 katika michezo 2 iliyochezwa.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

40 Komentara

    Lakers wapo juu kiwango

    Jibu

    lakers NBA hawana mpinzani

    Jibu

    Lakers ni moto mwingine uwepo wa davis saa kobe umewafanya wawe juu

    Jibu

    Lakers wako vinzur

    Jibu

    Lakers mabingwa

    Jibu

    Lakers moto wa kuotea mbali kwa ss

    Jibu

    Lakers hawana mpinzani

    Jibu

    LA Lakers wapo vizuri sana

    Jibu

    Hawa jamaa wako vzur kinyama

    Jibu

    LA Lakers wanajua sana

    Jibu

    Lakers wako makini sana

    Jibu

    Lakers kwa sasa wako makini

    Jibu

    La lakers wapo vizuri

    Jibu

    Lakers hawana mpinzani

    Jibu

    Lakers mabingwa

    Jibu

    Lakers hawana mpinzani

    Jibu

    Lakers wapo vizuriiii

    Jibu

    Hakuna mpinzani kwa lakers

    Jibu

    Hawa jamaa noma sana

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Lakers uwezo wanao

    Jibu

    Lebron ni moto mwingine sana lakers

    Jibu

    mabingwa ndo hawa sasa

    Jibu

    Lakers wapo moto sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Wapo vizur

    Jibu

    Nice

    Jibu

    LA Lakers wapo vizuri sana.

    Jibu

    Lakes wapo vizuri

    Jibu

    LAKERS ni nomaa

    Jibu

    NBA n moto 🔥🔥🔥🔥

    Jibu

    🔥

    Jibu

    Hakika wapo vizuri

    Jibu

    Itafaamika tuu

    Jibu

    Mambo yamepamba moto

    Jibu

    🔥

    Jibu

    La Laker wakali wa tennis

    Jibu

    Hatari sana

    Jibu

    Lakers ni moto mwingine uwepo wa davis saa kobe umewafanya wawe juu

    Jibu

    Nice

    Jibu

Acha ujumbe