NBA: Lakers na Warriors Ni Moto!

LA Lakers na Golden State Warriors wamewalaza na viatu Chicago Bulls na LA Clippers kwenye muendelezo wa NBA.

Lakers walikuwa uwanjani wakichuana na Chicago Bulls katika mchezo uliomalizika kwa ushindi wa pointi 117-115.

Lakers baada ya mchezo dhidi ya Chicago Bulls

Mabingwa wa NBA msimu uliopita – Lakers waliongozwa na LeBron James ambaye alipachika pointi 28 na kutoa pasi 7 za magoli.

Upande wa pili, Stephen Curry aliiongoza vyema Golden State Warriors kwenye mchezo dhidi ya LA Clippers.

Curry katika ubora wake dhidi ya Clippers.

Curry alipachika pointi 38 katika mchezo ambao Warriors wamelipa kisasi dhidi ya Clippers. Warriors walitoka nyuma kwa kufungwa pointi 22 lakini kipenga cha mwisho kilipulizwa Warriors wakiwa na pointi 115-105.

Matokeo ya michezo ya NBA Ijumaa hii.

Detroit Pistons 110-105 Phoenix Suns, Boston Celtics 116-107 Washington Wizards, Charlotte Hornets 118-110 New Orleans Pelicans, Oklahoma City Thunder 101-89 New York Knicks, Houston Rockets 132-90 Orlando Magic, Memphis Grizzlies 115-110 Brooklyn Nets, Utah Jazz 131-118 Milwaukee Bucks na Toronto Raptors 144-123 Sacramento Kings


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

19 Komentara

    Mambo ni firee

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Mambo yalinogaa balaaaaa

    Jibu

    Mambo nimoto

    Jibu

    NBA mambo yanazidi kuwa 🔥🔥🔥🔥

    Jibu

    Good New NBA

    Jibu

    Lakers wanatisha

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Mambo yanazidi kuwa moto

    Jibu

    Wapo vizuri

    Jibu

    saf

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    True say

    Jibu

    Kweli kabisa mambo ni bui bui

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Lakers wapo vizuri sana

    Jibu

    Hii ndio lakers

    Jibu

    Mambo moto

    Jibu

    Na hawa moto wao haupoi leo

    Jibu

Acha ujumbe