NBA: Lakers Waanza na Ushindi dhidi ya Heats

Mchezo wa kwanza wa fainali ya NBA 2019/20 umechezwa usiku wa kuamkia leo. LA Lakers wakianza kwa ushindi dhidi ya Miami Heats.

Fainali ya NBA ina jumla ya michezo 7 na mchezo wa kwanza umemalizika kwa Lakers kushinda pointi 116-98 dhidi ya Miami Heats.

Anthony Davis na LeBron James wameendelea kuwa mwiba kwa timu pinzani wanazokutana nazo. Katika mchezo huu, Davis alipachika pointi 34 wakati ambapo James alitupia pointi 25 na kutoa pasi 9 za magoli.

Jimmy Butler alikuwa shujaa wa Miami kwa kuweka pointi 23 japokuwa walipata shida kwa wachezaji wao wawili – Goran Dragic na Bam Adebayo kupata majeruhi kwenye mchezo huo.

Akizungumza baada ya mchezo huo, LeBron James alisema, “Bado kazi haijakwisha. Hatujaridhika na ushindi wa mchezo mmoja.

“Unapaswa kuangalia ni jinsi gani Miami ni wapinzani wagumu. Tumeliona hilo. Bado tunakazi kubwa ya kufanya.”

Mchezo wa 2 kati ya 7 kwenye Fainali ya NBA utachezwa usiku wa kuamkia Jumamosi.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

 

40 Komentara

    Lakers bingwa hana mpinzani

    Jibu

    Lakers imesimama imara..kwanza wako vizur

    Jibu

    Lakers Ni wachezaji imara

    Jibu

    Lakers Awana mpinzani

    Jibu

    Lakers lazima achukue ubingwa

    Jibu

    Lakers safii

    Jibu

    Lakers ana mpinzani

    Jibu

    nilijua tu ya kuwa lakers ni mshindi tena mzuri sana wanajua sana hawa jamaa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Lakers hana mpinzani

    Jibu

    Lakers noma

    Jibu

    Lakers lazima achukue ubingwa

    Jibu

    Lakers safi

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Lakers wapo vizuri

    Jibu

    Lakers hana mpinzani

    Jibu

    Lakers timu bora

    Jibu

    Lakers wako.vizuri sana pia hawanaga kazi mbovu

    Jibu

    Lakers yupo vinzuri

    Jibu

    Lakers wanajuaaaa

    Jibu

    Mwanzo mzuriii!!!

    Jibu

    Lakers klabu bora bado katika basketball hongera zao

    Jibu

    Hawa jamaa ni hatari sana

    Jibu

    saf

    Jibu

    Lakers han mpinzani

    Jibu

    Wako vizuri

    Jibu

    Lakers wanaonyesh kiwang san

    Jibu

    Lakers ni noma sana

    Jibu

    Amazing

    Jibu

    nilijua tu ya kuwa lakers ni mshindi tena mzuri sana wanajua sana hawa jamaa

    Jibu

    Lakers hatari sana

    Jibu

    LA Lakers pongezi sana kwenu mwendo uwe uwouwo.

    Jibu

    Hilikua bonge la gemu

    Jibu

    Am happy for them

    Jibu

    Dalili ya nyota njema for me naona Kama lakers wanawez kubeba Taj msimu huu

    Jibu

    Heats ni moto sana

    Jibu

    Heats ni moto sana

    Jibu

    Nyota njema huonekana asubuh, Lakers wanaweza wakabeba ushind.

    Jibu

    Lakers imesimama imara

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe