NBA: Lakers Walamba Ushindi vs Blazers.

LA Lakers wamevunja mnyororo wa kupoteza michezo 3 mfululizo kunako NBA msimu huu. Portland Trail Blazers wameambulia kipigo Staples Centre.

Lakers wameendelea kumkosa nyota wao – LeBron James ambaye anauguza majeraha ya goti lakini, wachezaji wengine waliokuwepo uwanjani wameonesha kuimudu hali hiyo.

Anthony Davis alikuwa nyota wa mchezo huo kwa kuisaidia Lakers kupachika pointi 30 kati ya 99 zilizowapa ushindi dhidi ya Blazers (96).

Kwingineko kunako NBA, Wizards wamewafunga 76ers kwa pointi (106-103), Thunder wameshinda 120-114 dhidi ya Mavericks, Nets wameambulia kipigo cha 6 mfululizo kwa pointi 112-101 dhidi ya Kings. 


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe