NBA Play-Offs: Vigogo Kikaangoni

Kunako anga la mchezo wa kikapu, michezo ya NBA Play Offs inaendelea kushika hatamu. Timu mbalimbali zikiendelea kuitafuta tiketi ya kuendelea kufuzu michuano hiyo.

Katika michezo iliyomalizika, Boston Celtics wameifunga Toronto Raptors wakati ambapo LA Clippers wamewavuruga Denver Nuggets.

Celtic ambao walikuwa na kibarua cha kujilinda zaidi, walitumia kipindi cha kwanza kuongoza kwa vikapu 25-11 na kuendelea kujilinda mpaka mwisho wa mchezo na kushinda kwa 111-89.

Ushindi kwa Celtic unakamilisha matokeo ya jumla ya 3-2 na hii ni hali mbaya kwa mabingwa watetezi [Toronto Raptors] kwani wapo katika hatihati ya kuyaaga mashindano haya.

“Kazi bado haijakwisha, tunapaswa kuendelea na kiwango hikihiki.” amesema mchezaji wa Celtics – Jaylen Brown.

Upande wa pili, Paul George aliifungia LA Clippers pointi 32 katika ushindi wa pointi 78-67 dhidi ya Denver Nuggets. Matokeo haya yanakamilisha matokeo ya jumla ya 2-1 kati ya timu hizi.

Hakika NBA ya msimu huu, haina mwenyewe.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

41 Komentara

    Mambo magumu sana ndani ya NBA

    Jibu

    Kazi ipo hapo

    Jibu

    Duh noma

    Jibu

    Hatari sana.

    Jibu

    Mambo yanazidi kuwa mabaya ndani ya NBA

    Jibu

    Mambo sio poa

    Jibu

    hapo kazi ipo

    Jibu

    Kazi hipo Hapo ndani Ya NBA

    Jibu

    Hatari tupu

    Jibu

    Kazi IPO!

    Jibu

    Wajipange tu kila kitu kinawezekana

    Jibu

    Hapo kazi ipo

    Jibu

    hapo kazi ipo kiukweli

    Jibu

    Mambo c mazur

    Jibu

    NBA wametishaa kinoma

    Jibu

    NBA kuwekuwa kugumu sana

    Jibu

    Kazi ipo

    Jibu

    Mambo yanabadilika

    Jibu

    atari sana msimu huu

    Jibu

    Tupia jamvi lako

    Jibu

    Pambano mikali

    Jibu

    NBA kazi ipo

    Jibu

    Ligi ya wababe

    Jibu

    noma sana

    Jibu

    NBA imetaradad

    Jibu

    Kimenukaa NBA

    Jibu

    NBA wametishaa

    Jibu

    Nomaa

    Jibu

    Hatar sana

    Jibu

    Hatari sana

    Jibu

    Mmmh

    Jibu

    Mmh Mambo magum sana ndani ya NBA#Meridianbettz

    Jibu

    Kimenuka Sasa NBA

    Jibu

    Mambo magumu NBA

    Jibu

    Hapo kazi ipo

    Jibu

    Kazi ipo hapo

    Jibu

    NBA mambo ni moto

    Jibu

    Bonge LA game

    Jibu

    Mambo yanazidi kuwa mabaya ndani ya NBA

    Jibu

    Kunani NBA

    Jibu

    Duu sio poa

    Jibu

Acha ujumbe