Mambo ni moto kunako michezo ya NBA Play-Offs, Phoenix Suns waendeleza ubabe dhidi ya Denver Nuggets. Furaha ya Jokic yatiwa doa.

Suns walikuwa uwanjani kupambana na Nuggets kwenye mchezo wa 3 katika muendelezo wa michezo 7 ya mtoano. Devin Booker alipachika pointi 28 huku Chris Paul akipachika pointi 27 katika ushindi wa pointi 116-102 kwa Suns.

NBA, NBA: Suns Waitiadoa Furaha ya Jokic, Meridianbet
Nikola Jokic akiwa na tuzo yake ya MVP.

Matokeo ya 3-0, yanawasogeza Suns kwenye fainali ya NBA Western Conference, wanahitaji ushindi mmoja tu kukamilisha safari yao msimu huu. Licha ya kupoteza mchezo dhidi ya Suns, Nikola Jokic alikuwa na wakati mzuri baada ya kukabidhiwa tuzo yake ya MVP.

Kwingineko kunako NBA, Philadelphia 76ers wameibuka kidedea dhidi ya Atlanta Hawks (127-111) kwa upande wa Eastern Conference.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa